12.4 Anasa Si Mahitaji
12.4 Luxuries are not Needs
Sio tu somo la matangazo lingekuwa tofauti katika Dola ya Kiislamu, bali pia njia ambazo mambo yangetangazwa zingekuwa tofauti. Kwa maana matangazo, pamoja na namna yake ya kuvutia na ile ya "hard sell" (kushawishi kwa nguvu), huchangia tamaa ya mali ambayo ni hatari sana katika jamii yetu. Haya yote huleta mtazamo kwamba anasa ni jambo la lazima, zipatikane kwa njia halali au haramu, na hivyo kuunda jamii ambamo wenye nacho wanataka zaidi, na wasiokuwa nacho hawajapata hata mahitaji yao.
Not only would the subject of advertising be different in the Islamic State, but also the way in which things are advertised would be different. For adverts with their inticing manner and ‘hard sell’ contribute to the materialistic drive that is so damaging in our society. This all leads to an attitude that luxuries are needed, to be acquired by fair means or foul, creating a society where the haves want more, and the have-nots have not even their needs met.