6.5 Amiri wa Jihadi
6.5 The Amir of Jihad
Idara za Amiri wa Jihadi zinajumuisha idara nne.
The directorates of the Amir of Jihad consist of four departments.
Hizi ni:
These are :
1. Mambo ya Nje (Sera ya Mambo ya Nje).
1. The External Affairs (Foreign Policy).
2. Jeshi.
2. The Military.
3. Usalama wa Ndani.
3. The Internal Security.
4. Viwanda.
4. Industry.
Amiri wa Jihadi ndiye mkurugenzi na msimamizi wa idara zote nne. Khalifa anaweza kumkabidhi nafasi hii Muislamu mwenye sifa zinazostahili, lakini kwa kuwa yeye ndiye mkuu wa dola, ni muhimu kwamba yeye mwenyewe ailichukue nafasi hii.
The Amir of Jihad is the director and supervisor of all four departments. The Khaleefah may delegate this position to a suitably qualified Muslim, but since he is the head of state, it is important that he takes on the role himself.