13. Kubeba Da‘wah ya Uislamu
13. Carrying the Da‘wah of Islam
Kuna harakati nyingi za dhati duniani leo zinazofanya kazi ya kuufufua Umma tukufu ya Muhammad ﷺ. Lazima iwe chama cha kisiasa cha Kiislamu ambacho lengo lake pekee ni kutekeleza amri ya Allah (SWT) kwa kufanya kazi ya kurejesha mtindo wa maisha wa Kiislamu na kubeba da‘wah ya Uislamu kuwafikia watu wengine wote duniani, na hivyo kufanya dini ya Allah (SWT) itawale tena duniani. Hili halitafikiwa isipokuwa pale Khilafah itakaporejeshwa juu ya ardhi.
There exist in the world today many sincere movements working for the revival of the noble Ummah of Muhammad (saw). It must be an Islamic political party whose sole aim is to fulfill the command of Allah (swt) by working to resume the Islamic way of life and to carry the da‘wah of Islam to rest of mankind, thereby making the deen of Allah (swt) dominant in the world again. This will only be achieved when the Khilafah is re-established on the earth.
Allah (SWT) anasema katika Qur'an:
Allah (swt) says in the Qur'an:
"Na iwepo miongoni mwenu kundi linalolingania kheri, linaamrisha mema na kukataza maovu, nao ndio wenye kufanikiwa." []. Harakati hii lazima ifahamu hali halisi ya kudhoofika kwa Ummah, lengo lake lazima liwe ni kuufufua Ummah kutoka kwenye udhaifu mkubwa uliofikia, na kuukomboa kutoka kwenye fikra, mifumo na sheria za ukafiri, pamoja na kutoka kwenye utawala na ushawishi wa nchi za kikafiri juu yake.