10.3.2 Hukmu ya Uamuzi wa Mahakama
10.3.2 The Hukm of the Judiciary
Imekubaliwa na madhehebu manne (yaani Hanafi, Shafi‘i, Hanbali na Maliki) kwamba mahakama ni fardh kifayah (fardhi ya kutosha), kama ilivyo Khilafah. Kwa hiyo, endapo hakuna mahakama, hakutakuwa na hukumu kwa mujibu wa Uislamu, na Ummah wote wa Kiislamu utakuwa na dhambi kwa kukosekana kwake. Lakini endapo kuna mahakama inayofanya kazi, inayotekeleza jukumu la kutoa haki kwa watu, basi fardhi hiyo imetekelezwa, na dhambi inaondoka shingoni mwa Waislamu.
It is agreed upon by the four schools of thought (i.e. Hanafi, Shafi‘i, Hanbali and Maliki) that the judiciary is fard kifayyah (sufficient fard) like the Khilafah. Accordingly, if there is no judiciary, there will be no judging by Islam, and the whole Muslim Ummah will be sinful for its absence. However, if there is a functional judiciary, that is fulfilling the role of administration of justice for the people, then the fard has been fulfilled, and the sin is removed from the necks of the Muslims.
Mtume wa Allah ﷺ alisema: "Siku moja ya Imamu mwadilifu ni bora kuliko kuabudu kwa miaka sitini, na kusimamishwa kwa hadd moja duniani ni bora kuliko mvua ya miaka 40."