12.6 Uislamu na Elimu
12.6 Islam and Education
Khilafah itahakikisha kwamba elimu inatolewa bila malipo. Shule, vyuo na maabara zitaanzishwa katika kila mtaa, kwa kiwango ambacho jamii inakihitaji. Inatarajiwa kwamba Dola ya Kiislamu itarudi kuwa kitovu cha teknolojia, nafasi ambayo ilikuwa nayo kwa karne nyingi. Shule binafsi pia zitakuwepo, lakini ni lazima zifuate mtaala wa Kiislamu.
The Khilafah will ensure that education is provided free of charge. Schools, colleges and laboratories will be provided in every locality, to the extent to which they are needed by the community. It is envisioned that the Islamic State will again become the reference point for technology, a position it enjoyed for centuries. Private schools will also be present but they must conform to the Islamic curriculum.
Vyombo vingine vya habari pia ni vya elimu, kama vile majarida, kompyuta au televisheni, kwa hiyo matumizi yake pia yatakuwa kulingana na miongozo ya Kiislamu. Ukiukaji wowote utasababisha mashtaka ya kijinai dhidi ya waandishi wa habari wanaohusika, hivyo zitakwisha siku za kashfa na kuchafuana ambazo zinajaza kurasa za magazeti ya udaku ya leo. Zitakwisha pia siku za kufanya ndoto za kubuni kwa njia ya filamu, kwa kuwa uigizaji umekatazwa katika Uislamu. Badala yake, vyombo vya habari vitatumika kwa njia yenye kujenga zaidi, vikiwa vya kutoa taarifa badala ya kuwa njia tu ya kukimbia uhalisia.
Other media are also educational, like magazines, computers or television, so their use will also be according to Islamic guidelines. Any violation will lead to criminal proceedings against the responsible journalists, so gone will be the days of the slandering and scandalising that fill the pages of today’s tabloids. Gone too will be the days of fantasising in the form of the movies for acting is forbidden in Islam. Instead, the mass media will be used in a far more constructive way, being informative rather than just a form of escapism.