10.4 Mfumo wa Adhabu katika Uislamu
10.4 The Punishment System in Islam
Mfumo wa Adhabu (nizam al-‘Uqubat) katika Uislamu unasaidia mfumo wa mahakama, na hutoa njia ya kuipa hukumu zake uzito unaoonekana. Hapa tutaeleza kwa ufupi baadhi ya mambo makuu ya mfumo wa adhabu.
The Punishment system (nizam al-‘Uqubat) in Islam supplements the judiciary, and provides a means of giving tangible substance to the verdicts. We will outline here in brief some of the main points of the punishment system.