11. Njia ya Kufufuka (Uamsho)
11. The Way to Revival
Hakuna kitu chochote maishani ambacho ni muhimu zaidi kwa Mu'min (muumini) kuliko kutafuta radhi za Muumba (swt). Yeye ndiye aliyemuumba mwanadamu kutokana na kitu chochote, na Yeye ndiye anayestahili heshima na ibada kubwa kabisa katika matendo yetu yote. Kama Allah (swt) alivyoamuru:
Nothing in life is of greater importance to the Mu‘min (believer) than to seek the pleasure of the Creator (swt). It is He that created man from nothing and He that commands the utmost respect and worship in all our actions. As Allah (swt) commanded:
"Sikuwaumba majini na binadamu isipokuwa wanitambue kwa ibada." [TMQ 51:56]. Allah (swt) hakumuumba binadamu tu, bali pia aliweka ndani yetu uwezo wa kufikiri na kujibu silika zetu. Tuna uchaguzi wa kutenda mema au mabaya, wa kufuata mwongozo wa Mwenye Enzi Kuu au kuingia katika upotofu, kigezo kikiwa ni kile Allah (swt) pekee alichokibainisha: "Fuata yale yanayokufunuliwa kutoka kwa Mola wako. Na Allah anajua yote mnayoyatenda" [TMQ 33:2]. na,.