8 Mfumo wa Kijamii
8 The Social System
8.1 Ukweli Kuhusu Mfumo wa Kijamii
8.1 Facts About the Social System
Jukumu kuu la mwanamke aliyeolewa ni kuwa mke na mama. Jukumu kuu la mwanaume katika muktadha wa familia ni kuwa mtoa riziki.
The primary role of a married woman is as a wife and a mother. The primary role of the man in the context of the family is as a provider.
Mwanamke anaweza kushiriki katika uchaguzi wa Khalifa, na pia anaweza kuwa mjumbe wa Majlis al-Ummah (Baraza la Ushauri la Umma). Anaweza pia kuwa hakimu, mwanazuoni, au kushika nafasi yoyote ya mamlaka isipokuwa ya kutawala. Hivyo ni haramu kwa mwanamke kuwa kiongozi wa dola au gavana (wali).
A woman may participate in the election of a Khaleefah, she may also sit on the Majlis al-Ummah (peoples consultative assembly). She may also be a judge, a scholar or hold any position of authority other than ruling. Thus it is forbidden for a woman to be the head of state or a governor (wali).