12. Maono Kwa Ajili ya Baadaye
12. A Vision For The Future
Ulimwenguni kote, binadamu wanashuhudia ukuaji wenye nguvu wa Uislamu. Katika ardhi ambayo hapo awali ilikuwa msingi imara wa Khilafah (Dola ya Kiislamu), kuna hamu kubwa ya kuona kurejea kwa mfumo huo huo. Katika ulimwengu wa Kiislamu, hamu hii inajidhihirisha kama mapambano ya kifikra ya watu wa kawaida wa Kiislamu dhidi ya vibaraka wa kidhalimu ambao kwa sasa wanatusumbua. Katika ardhi ambazo bado hazijaonja Khilafah, Uislamu unachanua, pamoja na kizazi kipya cha Waislamu wapya.
All over the world humanity is witness to the dynamic growth of Islam. In land which previously formed the bedrock of the Khilafah (the Islamic State), there is a deep hunger to see the return of that same system. In the Muslim world, this desire is manifest as the intellectual struggle of the Muslim masses against the tyrannical puppets that presently plague us. On lands yet to experience the Khilafah, Islam is blooming, with a new generation of converts.
Leo Uislamu ndiyo dini inayokua kwa kasi zaidi Magharibi. Hata hivyo, maswali mengi huibuka akilini mwa watu kuhusu mfumo wa dunia ambao Uislamu unautoa kwa Waislamu na wasio Waislamu sawa, na majibu yake yamefunikwa na mapazia ya historia iliyopotoshwa na propaganda inayoenezwa na mashine ya vyombo vya habari vya mfumo uliopo wa dunia. Ufahamu wa wazi wa Uislamu umefichwa na picha za maharimu, kukatwa vichwa kwa makafiri, maulamaa wanaobeba bunduki na mambo kama hayo.