6.2 Mfumo wa Hukumu katika Uislamu
6.2 The Islamic Ruling System
Kama Waislamu, ni sehemu ya imani yetu kwamba Uislamu ni mfumo kamili wa maisha unaotoa kanuni za kuongoza kila kipengele cha maisha ya binadamu, awe Mwislamu au asiye Mwislamu. Kwa bahati mbaya siku hizi, kutokana na kuingia kwa baadhi ya mawazo potovu, Waislamu wameanza kuhoji kama Uislamu umetoa mfumo wa utawala, unaotumika si tu kwa Waislamu bali kwa binadamu wote.
As Muslims, it is part of our belief that Islam is a complete way of life which provides systems to govern each and every aspect of a human beings life, be they Muslims or non-Muslims. Unfortunately nowadays, due to the infiltration of certain corrupt ideas, the Muslims have started to question the fact of whether Islam has provided a ruling system, not only applicable on the Muslims but on the whole of mankind.
Zaidi ya hayo, Mfumo wa Hukumu za Kiislamu ni wa lazima kwa Ummah wote wa Kiislamu. Maana yake ni kwamba ni wajibu kuufuata. Hili linathibitishwa na dalili zilizotolewa katika maelezo ya Mfumo wa Hukumu za Kiislamu.
Furthermore, the Islamic Ruling System is binding upon the entire Muslim Ummah. Meaning that it is an obligation to follow it. This is substantiated by the evidences provided in the description of the Islamic Ruling System.