12.8 Uislamu na Sera ya Mambo ya Nje
12.8 Islam and the Foreign Policy
Uislamu una mtazamo wake wa kipekee kuhusu sera ya mambo ya nje. Mahusiano ya Khilafah na nchi nyingine hayatokani na lengo la kulinda 'maslahi ya kitaifa' kama kanuni ya Lord Palmerston. Badala yake, maslahi yake pekee ni kumkomboa mwanadamu kutoka utumwa kwa wanadamu wengine, na kuwarudisha binadamu kwenye madhumuni ya kweli ya kuumbwa kwao, nalo ni kumwabudu Muumba wetu, Allah (swt). Kwa hiyo lengo la sera ya mambo ya nje ni kueneza Uislamu kwa njia ya da‘wah (mwaliko) na Jihad.
Islam has its own unique view about foreign policy. The Khilafah’s dealings with other states is not on the basis of securing ‘national interests’ as per Lord Palmerston’s dictum. Rather its sole interest is to free man from the slavery to other men, and return human beings to the true purpose for their creation - the worship of our Creator, Allah (swt). So the objective of the foreign policy is to spread Islam by invitation (da‘wah) and Jihad.
Kwa hiyo, yale tunayosikia kwenye vyombo vya habari kuhusu mwenendo wa Dola ya Kiislamu yangekuwa tofauti kabisa na yale tunayosikia kuhusu tawala zilizopo za nchi za Kiislamu.