7 Mfumo wa Kiuchumi
7 The Economic System
7.1 Ukweli Kuhusu Mfumo wa Kiuchumi
7.1 Facts About the Economic System
Uislamu una mfumo wa kipekee wa kodi ambapo maskini hawatozwi kodi. Kuna aina tatu tu za kodi za kawaida zinazotozwa kutoka kwa watu wale wanaoweza kulipa:
Islam has a unique system of taxation where there is no taxation of the poor. There are only three types of regular taxes levied from those people who are able to pay:
1. Jizyah - Ni kodi inayotozwa kwa wanaume wazima raia wasiokuwa Waislamu ambao wanaweza kuilipa. Kiasi chake ni kidogo sana ukilinganisha na kodi yoyote inayotozwa kwa raia Waislamu.
1. Jizyah - Is a tax on mature male non-Muslim citizens who are able to pay it. This is much less than any tax on Muslim citizens.
2. Ushr - Ni kodi inayotozwa kwenye ardhi ambayo haikushindwa, iliyo chini ya mamlaka ya Dola, kwa kiwango cha sehemu moja ya kumi ya mazao ikiwa ardhi hiyo hunyweshwa maji ya mvua, au sehemu moja ya ishirini ikiwa hunyweshwa kwa njia ya bandia.