20.6 Kuomba Msaada wa Makafiri katika Vita
20.6 Seeking The Assistance Of Disbelievers In Fighting
Inaruhusiwa kuomba msaada kutoka kwa makafiri kwa nafasi yao kama watu binafsi, kwa sharti kwamba wawe chini ya bendera ya Kiislamu, bila kujali kama ni dhimmi au la, na bila kujali kama ni raia wa Dola ya Kiislamu au la. Kuhusu kuomba msaada kutoka kwao kama taifa maalum lenye chombo huru kutoka Dola ya Kiislamu, hilo haliruhusiwi kabisa. Hivyo, ni haramu kuomba msaada wao kwa nafasi yao kama Dola huru. Dalili ya kuruhusiwa kuomba msaada wa makafiri kama watu binafsi ni
It is permitted to seek assistance from the disbelievers in their capacity as individuals on condition that they are under the Islamic flag irrespective of whether they are dhimmis or not, or whether they are citizens of the Islamic State or not. As for seeking assistance from them as a specific nation with an entity independent from the Islamic State, this is absolutely not allowed. So it is forbidden to seek their assistance in their capacity as an independent State. The evidence for permitting the seeking of assistance of disbelievers as individuals is

