56. Masharti ya Kukubali Taarifa ya Mtu Binafsi
56. Conditions For Accepting The Individuals Report
Khabari ya Aahaad inakubaliwa ikiwa inatimiza masharti ya usimulizi (riwaayah) na ujuzi kuhusu maudhui yake (diraayah). Kwa upande wa masharti ya usimulizi, ni kwamba mpokezi wa Hadith lazima awe: Muislamu, mwenye kubaleghe, mwenye akili timamu, mwadilifu, mkweli, sahihi katika alichokisikia, na mwenye kukumbuka Hadith tangu alipoipokea (kuisikia) hadi alipoisimulia. Wanazuoni wa usuli na wanazuoni wa istilahi ya Hadith wamezieleza kwa kina sharti za usimulizi. Na wasifu wa wanaume wa Hadith pamoja na simulizi zao umeonyesha kila mpokezi na kile anachotimiza katika sifa hizi kwa undani.
Khabar Al-Aahaad is accepted if it meets the acceptance conditions of the narration (riwaayah) and the knowledge about its content (diraayah). As for the acceptance conditions of the narration; they are that, the narrator of the Hadeeth must be: Muslim, mature, sane, just, truthful, accurate in what he heard and remembering the Hadeeth since he carried (heard) it until he narrated it. The scholars of the usoul and the scholars of the Hadeeth terminology had clarified the conditions of the narration in details. And the biography of the men of the Hadeeth and their narrations had shown every narrator and what he fulfills of these qualities in details.