4.1 Sunnah Ni Dalili ya Sharia Kama Qur'ani
4.1 The Sunnah Is A Sharī’ah Evidence Like The Qur’ān
Sunnah ni dalili ya Kisheria (dalīl Shar’i) kama Qur’ani, na ni wahyi kutoka kwa Allah . Kujikita kwenye Qur’ani pekee na kuiacha Sunnah ni kufuru wazi (kufr buwah), na huwatoa wanaounga mkono mtazamo huu nje ya zizi la Uislamu. Kuhusu Sunnah kuwa wahyi kutoka kwa Allah , hilo liko wazi katika Qur’ani Tukufu. Yeye amesema:
The Sunnah is a Sharī’ah Evidence (dalīl Shar’i) like the Qur’ān and it is a revelation from Allah . Confining to the Qur’ān and leaving the Sunnah is kufr buwah (manifest disbelief) and takes those who support this opinion outside the fold of Islam. As for the Sunnah being revelation from Allah , it is explicit from the Noble Qur’ān. He said:
"Sema: “Ninawaonya kwa wahyi tu” [TMQ Anbiyaa: 45]
“Say: “I warn you only by the revelation” [TMQ Anbiyaa: 45]