22. Utekelezaji wa Uislamu ni Wajibu kwa Makafiri
22. Implementing Islam Is Obligatory Upon The Disbelievers
Ni wajibu kutekeleza hukumu za Kiislamu kwa wote walioko katika Dar al-Islam chini ya utawala wa Dola ya Kiislamu, kama zinavyotekelezwa kwa Waislamu kwa usawa, iwe mtu huyo ni dhimmi, mu'ahid au musta'min. Mtawala hana hiari katika jambo hilo; bali ni wajibu kutekeleza hukumu za Kiislamu juu yao bila kusita, kwa sababu Allah (SWT) amesema kuhusu Watu wa Kitabu:
It is obligatory to implement the Islamic rules upon all those in Dar al-Islam under the rule of the Islamic State just like they are implemented upon the Muslims equally, whether he is a dhimmi or a mu’ahid or must’amin. The ruler is not given a choice in that; rather it is obligatory to implement the Islamic rules upon them without hesitation because Allah (swt) said in relation to the People of the Book:
“Na uhukumu baina yao kwa yale aliyoteremsha Allah, wala usifuate matamanio yao baada ya haki kukujia” [TMQ 5:48].