21.7 Kubatilisha Mikataba
21.7 Annulling Treaties
Mikataba yote itakayotiwa na Dola ya Kiislamu lazima iwe na ukomo wa muda maalum. Hata hivyo, kuingia katika mkataba hakumaanishi kuwalazimisha Waislamu kuutekeleza katika hali zote, kama vile kusivyomaanisha usaliti na kuvunjwa kwa mkataba. Bali inaruhusiwa kubatilisha mkataba katika hali maalum zilizobainishwa na Shari'a, na hairuhusiwi kuubatilisha katika hali nyinginezo zisizokuwa zile ambazo Shari'a imezibainisha. Hali ambazo Shari'a imebainisha kuwa ni halali kubatilisha mkataba na adui ni hizi:
All treaties signed by the Islamic State must be limited to a specific period. However, contracting a treaty does not mean compelling Muslims with it in all situations just as it does not mean betrayal and violation of the treaty. Rather it is allowed to annul the treaty in specific situations stated by the Shar’a, and it is not allowed to annul it in other than the situations the Shar’a stated. The situations for which the Shar’a stated the permissibility of annulling the treaty with the enemy are:
Kwanza: Ikiwa watu wenye mkataba watamsaidia adui yoyote wa Waislamu na kumuunga mkono dhidi ya Waislamu. Hiyo ni kama pale kunapokuwa na vita halisi kati ya Dola ya Kiislamu na dola nyingine, hivyo dola ambayo kuna mkataba kati yake na dola ya Kiislamu inamsaidia adui huyu kwa silaha, pesa au watu, na inamsaidia dhidi yetu. Katika hali hii inaruhusiwa kwa Dola ya Kiislamu kuvunja mkataba huo kwa sababu Allah (SWT) anasema: