29.2 Si Halali Kuuza Kile Usicho Nacho
29.2 It Is Not Allowed To Sell What You Do Not Have
Haramu kuuza bidhaa kabla ya kukamilisha umiliki wake, hivyo kuiuza katika hali hii ni mauzo batili. Hili limethibitishwa katika hali mbili. Kwanza, mtu kuuza bidhaa kabla ya kuimiliki. Pili, anaiuza baada ya kuinunua lakini kabla ya kukamilisha umiliki wake kwa kuichukua mikononi mwake, katika bidhaa ambayo ukamilifu wa umiliki wake unategemea kuchukuliwa mikononi. Hii ni kwa sababu mkataba wa mauzo hutokea tu juu ya mali iliyomilikiwa. Kwa hiyo, kile ambacho bado hakijamilikiwa, au kimenunuliwa lakini umiliki wake haujakamilika kwa kuwa bado hakijachukuliwa mikononi, basi mkataba wa mauzo hauwezi kutokea juu yake, kwa kuwa hakuna mahali pa mkataba huo kutokea juu yake katika Shari'a. Mtume ﷺ alikataza kuuza kile ambacho muuzaji hakimiliki. Imepokewa kutoka kwa Hakiim bin Hizam (ra) aliyesema:
It is not allowed to sell a good before completing its ownership so selling it in this situation is a void sale. This is verified in two situations. Firstly, that one sells the good before he owns it. Secondly, he sells it after buying it but before he completes owning it via taking possession in that whose completion of ownership is conditioned upon taking possession. This is because the sale contract only occurs upon owned property so that which is not owned yet or is purchased but its ownership is not yet completed since its possession has not yet been taken, then there cannot occur over it the sale contract because there does not exist a place for the contract to occur over it in the Shar’a. The Messenger of Allah (saw) prohibited the sale of what the seller does not own. It is narrated from Hakeem bin Hazam (ra) who said: