28. Mahusiano Baina ya Watu
28. Relationships Between Individuals
Kanuni zilizofafanuliwa ni mfano wa kanuni za Sharia zinazohusiana na Dola ya Kiislamu na uhusiano wake na nchi nyingine, watu na mataifa. Baadhi ya kanuni zimefafanuliwa humo kama mfano wa kanuni nyingine, hadi itakapofafanuliwa kwa Muislamu msingi ambao uhusiano huu wa jumla umesimama juu yake, pamoja na aina ya kanuni zinazoshughulikia matatizo yake. Kuna pia uhusiano kati ya watu binafsi ambao maslahi yao katika maisha yao yanasimama juu yake. Uislamu ulikuja na kuyashughulikia mahusiano haya kati ya watu binafsi kwa kanuni za Sharia zilizo mahsusi kwa mahusiano ya kibinafsi, na zilizo za jumla kwa binadamu katika asili yake kama binadamu.
The rules which have been explained are a sample of the Shari’ah rules related to the Islamic State and its relationship with other states, peoples and nations. Some of the rules were clarified therein as a sample for the rest of the rules until it is clarified for the Muslim thence the basis upon which these general relations stand and the category of rules which treat its problems. There are relations between individuals upon which their benefits stand in their lives. Islam came and treated these relations between individuals with Shari’ah rules specific with individual relations, general for human beings in his essence as a human being.