11 Idara ya Viwanda
11 The Department of Industry
Ibara ya 74
Article 74
Idara ya Viwanda inasimamia mambo yote yanayohusiana na viwanda, iwe ni viwanda vizito kama vile utengenezaji wa injini, mashine, magari, vifaa na vifaa vya umeme, au viwanda vyepesi. Vilevile, iwe viwanda hivyo ni vya mali ya umma au vimo katika mali binafsi na vina uhusiano na viwanda vya kijeshi. Aina zote za viwanda lazima zianzishwe kwa msingi wa sera ya kijeshi.
The Department of Industry is in charge of all the affairs connected to industry, whether heavy industry such as the manufacturing of engines, machines, vehicles, materials and electrical equipment, or light industry. Similarly, whether the factories are of the public property type or they are included in the private property and have a relationship to the military industry. All types of factories must be established upon the basis of military policy.
Idara ya viwanda ni idara inayosimamia mambo yote yanayohusiana na viwanda, iwe ni viwanda vizito kama vile utengenezaji wa injini, mashine, magari, vifaa vya ujenzi na vifaa vya umeme, au viwanda vyepesi; na bila kujali kama viwanda hivyo ni mali ya umma au ya watu binafsi, ilimradi vina uhusiano na viwanda vya kijeshi. Viwanda vya sekta zote lazima viwe kwa kuzingatia sera ya vita. Hii ni kwa sababu Jihadi na mapigano yanahitaji jeshi, na ili kupigana jeshi hilo linahitaji silaha. Ili silaha hizi ziwe za kiwango cha juu zaidi na zipatikane kikamilifu, ni lazima kuwepo na viwanda ndani ya Dola, hasa viwanda vya kijeshi, kutokana na uhusiano wake mkubwa na Jihadi.