Ibara ya 16
Article 16
Mfumo wa utawala ni mfumo wa umoja wa kiserikali na si mfumo wa shirikisho.
The system of ruling is a unitary system and not a federal system.
Mfumo pekee sahihi wa kutawala ni mfumo wa umoja wa kisiasa, na hakuna mwingine unaokubalika. Hii ni kwa sababu dalili za Shari'ah ndizo pekee zilizouleta na zikakataza kitu kingine chochote; imepokewa kutoka kwa 'Abd Allah bin 'Amr bin Al-'As kwamba alimsikia Mtume wa Allah ﷺ akisema.
The only correct system for ruling is the unitary system and nothing else is acceptable. This is because the Shari’ah evidence brought it alone and prohibited anything else; it was narrated by ‘Abd Allah b. Amr b. Al-‘As that he heard the Messenger of Allah (pbuh) say.
. وَمَنْ بَايَعَ إِمَامًا فَأَعْطَاهُ صَفْقَةَ يَدِهِ وَثَمَرَةَ قَ لْبِهِ فَ لْ يُطِعْهُ إِنِ اسْتَطَاعَ، فَإِنْ جَاءَ « » آخَرُ ي نَُازِعُهُ فَاضْرِبُوا عُنُقَ الآخَرِ.
. وَمَنْ بَايَعَ إِمَامًا فَأَعْطَاهُ صَفْقَةَ يَدِهِ وَثَمَرَةَ قَ لْبِهِ فَ لْ يُطِعْهُ إِنِ اسْتَطَاعَ، فَإِنْ جَاءَ « » آخَرُ ي نَُازِعُهُ فَاضْرِبُوا عُنُقَ الآخَرِ.
“Yeyote anayeapa utii kwa Khalifa amtolee mkono wa kiganja chake na moyo wake wa dhati (yaani, amtii kwa nje na kwa ndani). Amtii kadiri ya uwezo wake. Ikiwa mtu mwingine atajitokeza (akidai Ukhalifa), akipinga mamlaka yake, basi (Waislamu) wamkate kichwa huyo wa mwisho.” (Imepokewa na Muslim). Pia imesimuliwa na Abu Sa‘id Al-Khudri kwamba Mtume wa Allah ﷺ alisema,