Ibara ya 63
Article 63
Jeshi lina sehemu mbili: sehemu ya akiba, ambayo ni Waislamu wote wanaoweza kubeba silaha, na sehemu ya askari wa kawaida, ambao hupokea mishahara kutoka bajeti ya Serikali kwa njia ile ile wanayopokea watumishi wa umma.
The Army has two sections: the reserve section, which is all those Muslims who are capable of carrying arms, and the section of regular soldiers, who get salaries from the State budget in the same manner as the civil servants.
Dalili yake ni dalili ya wajibu wa Jihadi, kwa kuwa kila Mwislamu ana wajibu wa kushiriki Jihadi na mafunzo yake, na kwa hiyo Waislamu wote ni jeshi la akiba kwa kuwa Jihadi ni wajibu juu yao. Kuhusu kuwafanya sehemu yao kuwa wanajeshi wa kudumu, wa kawaida, dalili yake ni kanuni.
Its evidence is the evidence of the obligation of Jihad, since every Muslim is obligated with Jihad and its training and accordingly all of the Muslims are a reserve army since Jihad is obligatory upon them. As for making a section of them to be full-time regular soldiers, its evidence is the rule.
. )ما لا يتم الواجب إلا به فهو واجب( .
. )ما لا يتم الواجب إلا به فهو واجب( .