Kifungu 132
Article 132
Matumizi ya mali yamewekewa mipaka kwa idhini ya Mwenye Sheria (SWT), kwa kutumia na kuwekeza. Kufuja mali, israfu na ubakhili vyote vimekatazwa. Kampuni za kibepari, vyama vya ushirika na aina yoyote nyingine ya miamala inayopingana na Shari'ah imekatazwa. Riba, udanganyifu, ukiritimba, kamari na kila kitu kinachofanana nayo vyote vimekatazwa.
The disposal of property is restricted by the permission of the Legislator (swt), for both of spending and investment. Squandering, extravagance and miserliness are all forbidden. Capitalist companies, co-operatives and any other type of transactions which contradict the Shari’ah are forbidden. Interest, fraud, monopolies, gambling and anything similar are all forbidden.
Ushahidi wa hili ni ushahidi unaohusu kutumia mali, pamoja na ushahidi wa miamala ya kimaneno kuhusu mali, kama vile kuuza, kukodisha na mengineyo, ambayo ni ushahidi unaohusu kuongeza mali.
The evidence for this is the evidence regarding spending wealth and the evidence of verbal disposals of wealth such as selling, renting and so on, which are the evidences regarding increasing property.
Kuhusu ushahidi wa matumizi, Allah (SWT) amesema:
As for the evidence of expenditure, Allah (swt) said: