Ibara ya 78
Article 78
Yeyote anayechukua jukumu la kutoa hukumu lazima awe Mwislamu, mtu huru, mtu mzima, mwenye akili timamu, mwadilifu, Faqih (mtu anayejua fiqhi), na mwenye ufahamu wa jinsi ya kutumia kanuni kwenye matukio. Na yule anayechukua kazi ya kusikiliza madhulumu (Madhalim) pamoja na masharti yaliyotajwa, lazima pia awe mwanamume na Mujtahid (mwenye uwezo wa kutoa fiqhi yake mwenyewe na kufanya Ijtihadi).
Whoever undertakes the responsibility of judgement must be a Muslim, free, adult, sane, just, a Faqih (person who knows jurisprudence/Fiqh), and aware of how to apply the rules to the events. And the person who undertakes the judiciary of injustices (Madhalim) in addition to the conditions mentioned, must also be male and a Mujtahid (capable of deriving his own Fiqh/conducting Ijtihad).
Dalili yake ni ile ile iliyotajwa awali kuhusu dalili ya Kadhi Mkuu, isipokuwa kwamba si sharti kwa hakimu anayehukumu mizozo na kwa muhtasibu (hisbah) kuwa mwanaume; bali inaruhusiwa hakimu kuwa mwanamke, kwa kuwa si nafasi ya utawala bali ni uamuzi wa kisheria, yaani wao hufikisha hukumu ya Shari'ah ilhali si wao wanaotekeleza. Kwa hiyo, hadithi inayosema: «لَنْ يُفْلِحَ قَوْمٌ وَلَّوْا أَمْرَهُمُ امْرَأَةً» (Kamwe hawatofanikiwa watu waliomkabidhi mamlaka yao mwanamke).
Its evidence is what was mentioned previously for the evidence for the Supreme judge, except that it is not a condition in the judge who settles the disputes and the judge of Hisbah to be male, rather it is permitted for the judge to be a woman, since it is not a position of ruling but rather a judge, in other words, they convey the Shari’ah rule while they are not the one who implements it. Accordingly, the narration. .» لَنْ ي فُْلِحَ قَ وْمٌ وَلَّوْا أَمْرَهُمُ امْرَأَة « .