Ibara ya 81
Article 81
Hakimu anaweza kutoa hukumu tu katika kikao cha mahakama, na ushahidi wowote na viapo vinaweza kuzingatiwa tu katika kikao cha mahakama.
The judge can only give a verdict in a court session, and any evidence and oaths can only be considered in the court session.
Ushahidi wake ni kile kilichosimuliwa na ‘Abd Allah Bin Al-Zubayr aliyesema,
Its evidence is what is narrated by ‘Abd Allah Bin Al- Zubayr who said,
.» أَنَّ الْخَصْمَيْنِ يَ قْعُدَانِ بَ يْنَ يَدَيِ الْحَكَمِ قَضَى رَسُولُ اللَّهِ « .
.» أَنَّ الْخَصْمَيْنِ يَ قْعُدَانِ بَ يْنَ يَدَيِ الْحَكَمِ قَضَى رَسُولُ اللَّهِ « .
"Mtume wa Allah ﷺ aliamuru kwamba wagombea hao wawili waketi mbele ya hakimu (kati ya mikono yake)." (Imepokewa na Ahmad na Abu Dawud kwa maneno ya Abu Dawud). Hadithi hii inaeleza namna ya kutoa hukumu, nayo ni namna halali kwa yenyewe. Lazima kuwepo na namna maalum ambayo mchakato wa kimahakama utafanyika, ambayo ni wagombea wawili wa mzozo kukaa mbele ya mtawala, na hili lingekuwa kikao cha mahakama. Kwa hiyo, hili ni sharti la uhalali wa mchakato wa kimahakama, yaani ni lazima kuwepo kikao maalum ambamo hukumu itatolewa ili iwe hukumu halali, nacho ni wagombea wawili wa mzozo kukaa mbele ya mtawala. Hili linaungwa mkono na simulizi ya Ali (ra) wakati Mtume wa Allah ﷺ alipomwambia: