Ibara ya 109
Article 109
Shura (ushauri) ni haki ya Waislamu peke yao, na wasio Waislamu hawana haki nayo. Ni ruhusa kwa raia wote kutoa maoni yao, wawe Waislamu au wasiwe Waislamu.
Shura (consultation) is a right for the Muslims alone and the non-Muslims do not have a right to it. It is permitted for all of the subjects to put forward opinions, whether Muslim or not.
Ukweli kwamba Shura ni haki ya Waislamu umethibitishwa na aya mbili.
The fact that Shura is a right for the Muslims is proven by the two verses.
"Na shauriane nao katika jambo hilo." (TMQ 3:159) na.
“And consult them in the matter.” (TMQ 3:159) and.
“Na mambo yao yanaamuliwa kwa mashauriano baina yao.” (TMQ 42:38) kuhusu Waislamu, na kauli Yake (SWT).
“And whose affair is [determined by] consultation among themselves.” (TMQ 42:38) with respect to the Muslims, and His (swt) words.