Ibara ya 41
Article 41
Mahakama ya Madhalim ndiyo mamlaka pekee yenye uwezo wa kuamua kama mabadiliko ya hali ya Khalifah yanamtoa katika uongozi au la, na ndiyo mamlaka pekee yenye nguvu ya kumwondoa au kumwonya.
The court of the Madhalim (injustices) is the only authority that can decide whether the change in the situation of the Khalifah removes him from the leadership or not, and it is the only authority that has the power to remove or warn him.
Ushahidi ni kwamba tukio lolote miongoni mwa mambo ambayo Khalifa anaondolewa kwayo na yale ambayo kuondolewa kwake kunastahiki, ni malalamiko kutokana na dhulma, hivyo ni lazimaliondolewe. Vilevile, ni miongoni mwa mambo yanayohitaji uthibitisho, hivyo ni lazima yathibitishwe mbele ya hakimu. Kwa kuwa mahakama ya Madhalim (dhulma) ndiyo inayoamua kuondoa dhulma, na hakimu wake ndiye mwenye mamlaka ya kuthibitisha dhulma na kutoa hukumu juu yake, basi mahakama ya Madhalim ndiyo huamua kama mojawapo ya zile hali kumi zilizotangulia limetokea au la, na kama Khalifa aondolewe au la.
The evidence is that the occurrence of any issue from the issues that the Khalifah is removed for and those for which his removal is deserved, is a complaint from the injustices, and so it must be removed. And in the same manner it is one of the issues that require confirmation, and so it is imperative to be established in front of a judge. Since the court of Madhalim (injustices) is the one which rules to remove the injustices, and its judge is the one who has the power to confirm the injustice and rule upon it, accordingly the court of Madhalim decides whether any of the previous ten circumstances have occurred or not, and whether the Khalifah is removed.
Lakini, ikiwa Khalifa atapatwa na mojawapo ya hali hizo na kujiondoa mwenyewe, basi suala linafungwa. Na ikiwa Waislamu wataona kwamba ni lazima aondolewe kwa sababu ya hali hiyo kutokea, na yeye akapingana nao, basi suala hilo linapelekwa kwenye hukumu kwa sababu ya maneno ya Allah (SWT): “Na mkihitilafiana katika jambo lolote, lirudisheni kwa Allah na Mtume.” (TMQ 4:59). Yaani, ikiwa ninyi na wenye mamlaka mlihitilafiana, na hili ni hitilafu kati ya mwenye mamlaka na Ummah, basi kulirudisha kwa Allah (SWT) na Mtume wake ﷺ ni kulipeleka kwenye hukumu, au kwa maneno mengine, mahakama ya Madhalim.
However, if the Khalifah is afflicted by any of the circumstances and removes himself, then the issue is closed, and if the Muslims see that it is necessary for him to be removed due to this situation occurring and he disagrees with them, then the issue is referred to judgement due to the words of Allah (swt). “And if you disagree over anything, refer it to Allah and the Messenger.” (TMQ 4:59); in other words, if you and the people of authority disagreed, and this is a disagreement between the person of authority and the Ummah, and to refer it to Allah (swt) and His Messenger (saw) is to refer it to judgement, or in other words, the court of the Madhalim.
Mahakama ya Madhalim ina mamlaka ya kupunguza muda wa taarifa ya kumwondolea Khalifah ukandamizaji (utawala wa wengine juu yake), au muda wa neema wa kumwachilia kutoka kifungoni, ambao wakati wake kiongozi wa muda ataendelea kufanya kazi. Baada ya muda huo, ikiwa Khalifah ataweza kutekeleza mamlaka yake bila kuwa chini ya ukandamizaji wa wengine au bila kuwa kifungoni, basi kazi ya kiongozi wa muda itakoma. Ikiwa ukandamizaji juu yake au kifungo chake hakitakoma, basi mahakama itatoa hukumu ya kumwondoa, na kiongozi wa muda ataanza mchakato wa kumteua Khalifah mpya.
The Madhalim court has the power to limit the period of notice to remove the mastery over him, or the period of grace for freeing him from imprisonment, during which the temporary leader would work, and after if the Khalifah then could carry out his powers without being under the mastery of others or imprisoned, then the work of the temporary leader would end. If the mastery over him or imprisonment did not end, then the court would rule to remove him, and the temporary leader would begin the process of appointing the new Khalifah.