Ibara ya 53
Article 53
Khalifa ndiye anayewateua magavana. Wafanyakazi (’Ummal) huteuliwa na Khalifa, na na magavana iwapo wamepewa mamlaka hayo. Sharti za gavana na ’Ummal ni sawa na sharti za wasaidizi, hivyo ni lazima wawe wanaume huru, wenye haki, Waislamu, waliofikia umri wa utu uzima, na wawe miongoni mwa watu wenye uwezo wa kutekeleza kazi walizopewa; na wachaguliwe miongoni mwa watu wenye Taqwa (kumcha Mungu) na nguvu.
The Khalifah appoints the governors. The ’Ummal (workers) are appointed by the Khalifah and by the governors if they have been delegated that power. The preconditions of the governor and ’Ummal are the same as the conditions for the assistants, so it is imperative that they are free, just, Muslim, adult men and are from the people who have the capability to do what they are assigned to, and they are chosen from the people of Taqwa (God fearing) and power.
Ushahidi wa makala hii ni kitendo cha Mtume (rehema na amani zimshukie) na masahaba baada yake. Mtume (rehema na amani zimshukie) alikuwa akiwapa madaraka kamili ya utawala wa nchi watawala au viongozi, kama ilivyotokea kwa Amr bin Hazm, ambaye alikuwa mtawala wa Yemen yote. Vivyo hivyo, Mtume ﷺ wakati mwingine alimkabidhi mtu sehemu ya majukumu ya utawala, kama ilivyotokea kwa Mu'adh bin Jabal na Abu Musa, ambao walitumwa katika mikoa tofauti ya Yemen isiyotegemeana, na akawaambia: