Ibara ya 11
Article 11
Kuwasilisha Da'wa ya Kiislamu (mwito wa Uislamu) ni kazi ya msingi ya Dola.
Conveying the Islamic Da’wa (call to Islam) is the fundamental task of the State.
Makala haya yameandaliwa kwa sababu mbali na kuwa wajibu kwa Waislamu, kulingana Da'wa ya Kiislamu ni wajibu pia kwa Dola. Ingawa kufikisha wito wa Uislamu ni sehemu ya utekelezaji wa Shari'ah katika mahusiano, na ingawa ni hukumu ya Shari'ah ambayo Dola lazima iitekeleze kama vile Muislamu binafsi anavyoitekeleza, inachukuliwa kuwa ndiyo msingi ambao mahusiano yake na mataifa mengine yamejengwa. Kwa maneno mengine, ndiyo msingi ambao sera nzima ya mambo ya nje ya Dola imejengwa. Kwa hiyo, kufikisha Da'wa ya Kiislamu ndiyo kazi kuu ya Dola.
This article has been drafted because as well as being an obligation upon the Muslims, conveying the Islamic Da’wa is also an obligation upon the State. Although conveying the call to Islam forms a part of the implementation of Shari’ah in the relationships and although it is a Shari’ah rule that the State must implement as the individual Muslim does, it is considered as the basis upon which its relationships with other states is built. In other words, it is the basis upon which the whole of the State’s foreign policy is built. Therefore, conveying the Islamic Da’wa is the State’s main task.