Ibara ya 98
Article 98
Yeyote aliye na uraia, na mwenye uwezo, awe mwanamume au mwanamke, Mwislamu au asiye Mwislamu, anaweza kuteuliwa kuwa meneja wa idara ya serikali, wizara, au kitengo, na kuwa mtumishi wa umma ndani yake.
Anyone who carries citizenship, and is competent, whether male or female, Muslim or non-Muslim, can be appointed as a manager for an administration, a department, or a division, and to be a civil servant in it.
Hii imechukuliwa kutoka kwenye kanuni zinazohusu ajira. Kwa kuwa inaruhusiwa kumwajiri mfanyakazi yeyote, awe Muislamu au si Muislamu, kutokana na ujumla wa dalili za ajira; Allah (SWT) amesema.
This has been taken from the rules regarding employment, since it is permitted to employ any employee, irrespective of being Muslim or non-Muslim, due to the generality of the evidences of employment; Allah (swt) said.
“Na ikiwa wanawanyonyesheni, basi wapeni ujira wao.” (TMQ 65:6) Ambayo ni ya jumla. Na imepokewa katika Al-Bukhari kutoka kwa Abu Hurayrah kwamba Mtume ﷺ amesema: قَالَ اللَّهُ: ثَلاثَةٌ أَنَا خَصْمُهُمْ يَ وْمَ الْقِيَامَةِ ... وَرَجُلٌ اسْ تَأْجَرَ أَجِيرًا فَاسْ تَ وْفَى « » مِنْهُ وَلَمْ ي عُْطِ أَجْرَه.
“And if they breastfeed for you, then give them their payment.” (TMQ 65:6) which is general, and it is reported in Al- Bukhari from Abu Hurayrah that the Messenger (pbuh) said. .قَالَ اللَّهُ: ثَلاثَةٌ أَنَا خَصْمُهُمْ يَ وْمَ الْقِيَامَةِ ... وَرَجُلٌ اسْ تَأْجَرَ أَجِيرًا فَاسْ تَ وْفَى « » مِنْهُ وَلَمْ ي عُْطِ أَجْرَه.
"Mwenyezi Mungu amesema: Mimi ni adui wa watu watatu siku ya Kiyama…na mtu aliyemwajiri mfanyakazi, akapata kazi yote kutoka kwake, lakini hakumlipa ujira wake." Hili ni la jumla, halihusu ujira wa Waislamu peke yao. Mtume ﷺ alimwajiri mtu kutoka Bani Al-Dayl ambaye alikuwa katika dini ya watu wake, jambo linaloonyesha kuwa inaruhusiwa kumwajiri asiye Mwislamu kwa njia ile ile kama Mwislamu. Vivyo hivyo, inaruhusiwa kumwajiri mwanamke kwa njia ile ile ambayo inaruhusiwa kumwajiri mwanamume, kwa sababu ya ujumla wa dalili nyingine pia. Kwa hiyo, inaruhusiwa kwa mwanamke kuwa msimamizi wa idara katika idara za serikali, na kuwa mtumishi wa umma ndani yake. Na inaruhusiwa kwa asiye Mwislamu kuwa msimamizi wa idara miongoni mwa idara za serikali, na pia kuwa mtumishi wa umma, kwa kuwa wao ni wafanyakazi, na dalili za ajira ni za jumla.
“Allah said: I am against three on the Day of Judgement…and a man who employed a worker and gets the full work out of him, but does not pay him his wage.” which is general and not specific to the wage of Muslims. The Messenger (pbuh) employed a man from Bani Al-Dayl who was upon the religion of his people, which indicates the permissibility of employing a non-Muslim in the same way as a Muslim. And in the same manner it is permitted to employ a woman in the same way that it is permitted to employ a man due to the generality of the evidences as well. Accordingly, it is permitted for a woman to be the manager of a department in a state department, and to be a civil servant in them, and it is permitted for a non-Muslim to be a manager of a department from the state departments as well as to be a civil servant, since they are employees, and the evidences for employment are general.