Kifungu cha 19
Article 19
Hairuhusiwi kwa yeyote kushika madaraka ya utawala au kitendo chochote kinachochukuliwa kuwa sehemu ya utawala isipokuwa awe mwanaume, huru, mtu mzima, mwenye akili timamu, mwadilifu, mwenye uwezo wa kutekeleza wajibu huo; na haiwezekani pia kwa mtu asiye Mwislamu.
It is not permitted for anyone to be in charge of ruling or any action considered to be from the ruling unless they are male, free, adult, sane, just, capable of carrying out the responsibility, and it is not permitted for anyone other than a Muslim.
Allah (SWT) ametoa katazo la wazi kwamba kafiri asiwe mtawala juu ya Waislamu, kama Allah (SWT) asemavyo.
Allah (swt) has decisively prohibited for a disbeliever to be a ruler over the Muslims, as Allah (swt) says.
“Na Mwenyezi Mungu kamwe hatawapa makafiri njia juu ya Waumini [ya kuwatawala].” (TMQ 4:141). Kumfanya kafiri awe mtawala juu ya Waislamu ni kumpa njia juu yao, na Mwenyezi Mungu (swt) ameharamisha hilo kabisa kwa kutumia neno “kamwe”, ambalo ni dalili kwamba katazo la kafiri kuwa na njia juu ya Waislamu, yaani kafiri kuwa mtawala wao, ni katazo lenye uamuzi wa kukata, na kwa hiyo linafikisha ujumbe kwamba limefanywa kuwa Haramu. Zaidi ya hayo, Mwenyezi Mungu (swt) ameweka sharti kwamba shahidi wa kurejea kwa mke baada ya talaka lazima awe Muislamu; Mwenyezi Mungu (swt) anasema.