Ibara ya 26
Article 26
Kila Muslim mwenye akili timamu na mtu mzima, awe mwanamume au mwanamke, ana haki ya kuchagua kiongozi wa Dola na kumpa kiapo cha utiifu; ilhali wasio Waislamu hawana haki kama hiyo.
Every sane, adult Muslim, a male or a female, has the right to elect the leader of the State and to give him the pledge of allegiance; while the non-Muslims do not have such right.
Uhalisia wa Khilafah ni dalili kwamba kila Muislamu ana haki ya kumchagua Khalifah na kumpa kiapo cha utii, kwa kuwa zipo riwaya zinazoonyesha kwamba ni Waislamu ndio wanaompa Khalifah kiapo cha utii, awe mwanamume au mwanamke; imepokewa na ‘Ubadah b. Samit.
The reality of the Khilafah is evidence that every Muslim has the right to elect the Khalifah and to give him the pledge, since there are narrations which indicate that it is the Muslims who give the pledge of allegiance to the Khalifah, irrespective of whether they were male or female; it is narrated by ‘Ubadah b. Samit.
. »... بَايَ عْنَا رَسُولَ اللَّهِ « .
. »... بَايَ عْنَا رَسُولَ اللَّهِ « .
Tulimpa kiapo cha utiifu kwa Mtume wa Allah ﷺ…” imepokewa na Al-Bukhari, na kusimuliwa kutoka kwa Umm Attiyya aliyesema.