1 – Dalaalat Ul-‘ibaarah
1 – Dalaalat Ul-‘ibaarah
Ufafanuzi wake:
Its definition:
Dalaalat ul-‘Ibaarah ni dalaalah (dalili) ya lafdhi juu ya maana inayofahamika mara moja kutoka katika umbo lake lenyewe (Seeghah), iwe maana hiyo ndiyo iliyokusudiwa na Siyaaq (muktadha/mpangilio wa maneno) kwa asili au kwa kufuatia.
The Dalaalt ul-‘Ibaarah is the Dalaalah (indication) of the Lafzh upon a meaning that is immediately understood from its same form (Seeghah) whether this meaning is what has been intended by its Siyaaq (context/framing) in origin or in following.
Kwa hiyo, kila maana inayoeleweka moja kwa moja kutoka katika Lafdhi yenyewe na inayowakilisha maana sahihi ya maandishi ni hii. Maana hii inaeleweka moja kwa moja kutoka katika Alfaadhi (maneno) bila kufanya juhudi ya uchunguzi au tafakari (yaani bila Ijtihaad), au inaeleweka baada ya tafakari kidogo, na hii ndiyo maana ambayo maandishi yanaithibitisha ipasavyo. Maana hii ya asili au ifuatayo inaitwa Dalaalat ul-Ibaarah kwa sababu inaeleweka kutoka katika 'Ibaarah (usemi) wa Nass (maandishi).