Al-talfīq (kutunga au kukusanya pamoja) miongoni mwa Madhahib
At-talfeeq (concocting, Piecing Together) Amongst The Madhaahib
Maana ya At-Talfeeq:
The meaning of At-Talfeeq:
Neno "At-Talfeeq" kwa lugha linatokana na kitenzi (Lafaqa/Yalfiqu) chenye maana ya kushona kipande cha nguo kwenye kipande kingine, ilhali "At-Tilfaaq" ni kushona nguo kwenye nguo nyingine.
At-Talfeeq linguistically means: It is from the verb (Lafaqa/Yalfiqu) with the meaning of sewing a piece of garment into another piece whilst At-Tilfaaq means the sewing of a garment into another garment.
Maana ya At-Talfeeq katika madhehebu ni: Mfuasi wa taqlidi kuchukua kutoka kila madhehebu kile kinachoendana na kukubaliana na matamanio yake (Hawaa) kuhusiana na Ahkaam Ash-Shar'iyah anazozihitaji, bila kuzingatia hata kidogo vigezo vya kuchagua lililo bora ambavyo tumevitaja, kama kiwango cha elimu ya yule anayemfuata na nguvu ya Daleel (ushahidi).