Hukmu ya At-taqleed
The Hukm Of At-taqleed
Msimamo wa asili kwa Muislamu ni kwamba yeye huchukua mwenyewe anachohitaji katika Ahkaam Ash-Shar'iyah (hukumu za kisheria) moja kwa moja kutoka katika matini za Shar'iyah, yaani kutoka katika Aayaat na Ahaadeeth. Hii ni kwa sababu Allah Ta'Aalaa amemsemesha kwa matini hizi na kumtaka asifuate kingine isipokuwa 'Ilm (elimu). Allah Ta'Aalaa amesema:
The original position in regards to the Muslim is that he takes what he requires in terms of Ahkaam Ash-Shar’iyah (directly) from the Shar’iyah texts himself i.e. from the Aayaat and the Ahaadeeth. That is because Allah Ta’Aalaa has addressed him with these texts and requested that he does not follow other than ‘Ilm (knowledge). Allah Ta’Aalaa said:
Na usifuatilie usilolijua. Hakika kusikia, kuona na moyo - kuhusu hivyo vyote mtu atahojiwa (Al-Israa' 36).
And do not pursue that of which you have no knowledge. Indeed, the hearing, the sight and the heart - about all those [one] will be questioned (Al-Israa’ 36).