Fatwa
Al-fatwaa
Maana ya Al-Fatwaa:
The meaning of Al-Fatwaa:
Al-Fatwaa kwa maana ya lugha: Inatokana na kitenzi ‘ ‘chenye maana ya Aftii, chenye maana ya Abaan (kufanya wazi/dhahiri). Al-Futyaa na Al-Fatwaa zina maana moja, na mzizi wake (Masdar, jina la kitendo) ni Al-Iftaa’u.
Al-Fatwaa linguistically: It is from the verb ‘ ‘with the meaning of Aftii with the meaning of Abaan (to make plain/evident). Al-Futyaa and Al-Fatwaa have the same single meaning and the Masdar (infinitive or verbal noun) is Al-Iftaa’u.
Al-Fatwaa katika maana yake ya Kishari'a:
Al-Fatwaa in its Shar’a meaning:
Ni kile ambacho Mufti (yaani Faqeeh) anakibainisha au kukieleza kuhusiana na Hukm Shar’iy kwa hali halisi inayoulizwa au kuulizwa kuhusu.
It is what the Mufti (i.e. the Faqeeh) makes clear or explains in respect to a Hukm Shar’iy for the reality that is being enquired or asked about.