Maswahaba ni akina nani?
Who are the Sahaabah?
As-Sahaabah ni neno (lafdhi) ambalo limetumika kwa yule ambaye suhba yake (urafiki wake) na Nabii ﷺ imekuwa ndefu, na vikao vyake naye vimekuwa vingi, akimfuata na kupokea elimu kutoka kwake ﷺ.
As-Sahaabah is a Lafzh (wording) that has been applied to the one whose Suhbah (companionship) with the Nabi (saw) has been lengthy and his sittings with him have been many involving pursuing him and taking from him (saw).
Al-Imaam Al-Haafizh alinukuu katika Isnaad yake kutoka kwa Sa'eed Ibn Al-Musayyib kwamba alisema: "Hatumhesabu mtu kuwa miongoni mwa Sahaabah isipokuwa kama alikaa pamoja na Mtume wa Allaah ﷺ kwa mwaka mmoja au miaka miwili, na/au alienda vitani (Ghazwah) pamoja naye katika Ghazwah moja au mbili."
Al-Imaam Al-Haafizh related in his ‘Isnaad’ from Sa’eed Ibn AlMusayyib that he said: “We do not count someone to be from the Sahaabah unless he resided with the Messenger of Allah (saw) for a year or two years and (or) went to battle (Ghazwah) with him on one or two Ghazwahs”.