Amri Inayofuata Katazo
The Command Following The Prohibition
Baadhi ya Maulamaa walisema:
Some of the ‘Ulamaa’ said:
Amri linalokuja baada ya katazo (Hazhr) ni la ruhusa (Al-Ibaahah), na hilo ni kama alichokisema Allah Ta'ala katika kauli Yake:
The Amr after the prohibition (Hazhr) is one of Al-Ibaahah (permissibility) and that is like what has come in the Qawl of Allah Ta’Aalaa:
Lakini mtakapotoka katika Ihram, basi windeni (Al-Maa'idah 2).
But when you come out of Ihraam, then hunt (Al-Maa’idah 2).
Ambayo ilifuata Kauli Yake (SWT):
Which followed His Qawl (swt):