Maoni Yangu Kuhusu Kufuata Rukhsa
My Opinion In Respect To The Following Of The Rukhas
1 – Haijuzu kwa mujtahid kufuata rukhsa ndani ya madhehebu, na hilo ni kwa sababu yeye ana uwezo wa kurejesha (kupima uzito wa) kauli anayoiona kuwa sahihi. Anapaswa kufuata lile analolidhania zaidi (Ghalab ‘Alaa Zhannihi) kuwa ndilo Sawaab (kauli sahihi), na haijuzu kwake kufuata kingine zaidi ya hilo. Isipokuwa katika hali au matukio mahususi ambayo tumeyataja hapo awali kuhusiana na kubadilika kwa Ijtihaad.
1 – It is not permitted for the Mujtahid to follow the Rukhas within the Madhaahib and that is because he is capable of outweighing the opinion that he views to be correct. He is bound to follow that which he believes most likely (Ghalab ‘Alaa Zhannihi) to be the Sawaab (correct view) whilst it is not permissible for him to follow other than that. That is with the exception of the specific circumstances or cases that we have previously mentioned in relation to the changing of the Ijtihaad.
2 – Ikiwa kitendo cha Al-Muqallid Al-Mutabbi'u, anayechukua Hukm pamoja na Daleel yake, kimeunganishwa na Hukm ya Mas'alah, yaani ametekeleza kitendo hicho kwa kuzingatia Hukm maalum, basi haijuzu kwake kuacha Hukm hii isipokuwe kwa sababu ya Shar'iy inayoshinda, kama vile kwa nguvu ya dalili au kiwango cha elimu ya Mujtahid.