Dalili ya Kumi
The Tenth Daleel
Shar'u Min Qablinaa (Shariá ya Waliotangulia Kabla Yetu)
Shar’u Min Qablinaa (the Shar’iyah Of Those Who Came Before Us)
Maana yake:
Its meaning:
Neno "Ash-Shar’u" kwa maana ya lugha lina maana zifuatazo: Likiwa na Fat-ha juu ya herufi ya ‘Raa’ (yaani Shara’a) au Sukuni (Shar’u) lina maana ya usawa (Sawaa’) na njia ya barabara (Tareeq Shaari’), yaani ni Mashroo’ (mpango) ambao watu kwa ujumla hufuata. "Ash-Shir’ah" likiwa na Kasra juu ya herufi ya ‘Sheen’ na Sukuni juu ya herufi ya ‘Raa’, na "Ash-Sharee’ah" vina maana moja. Mifano ya matumizi yake ni kauli ya Allah (swt):
‘Ash-Shar’u’ linguistically means: With a Fat’hah on its ‘Raa’ (i.e. Shara’) or Sukoon (Shar’u) means evenness (Sawaa’) and the way of a road (Tareeq Shaari’) i.e. it is a Mashroo’ (plan) that the people generally follow. ‘Ash-Shir’ah’ with a Kasrah on the ‘Sheen’ and a Sukoon on the ‘Raa’ and ‘Ash-Sharee’ah’ hold the same meaning. Examples of its usage include the Qawl of Allah (swt):