Aqsaam Al-ahliyah (Aina za Ustahiki)
Aqsaam Al-ahliyah (the Categories Of Suitability)
Ahliyah imegawanywa katika makundi mawili: Ahliyah Wujoob na Ahliyah Adaa'.
The Ahliyah is divided into two categories: Ahliyah Wujoob and Ahliyah Adaa’.
1 – Ahliyah ya Wujoob: Hii inahusu ufaaa wa binadamu kuwa na haki halali au kuwa na haki zinazopaswa kwake. Ahliyah hiiipo tangu binadamu akiwa kijusi tumboni mwa mama yake, kisha akiwa mtoto mchanga, mtoto mdogo, na kisha Baaligh (yaani mtu mzima aliyefikia umri wa kubaleghe). Kwa hiyo, katika maisha yake yote, binadamu anayo haki (Huqooq), na hukumu (Ahkaam) zinamhusu, kama hukumu za Al-Irth (urithi) na Az-Zakaah kuhusiana na mali yake, pamoja na hukumu nyingine.
1 – Ahliyah Wujoob: This relates to the suitability of the human in respect to him having legitimate rights or rights being due upon him. This Ahliyah exists from the time that the human is a foetus in the womb of his mother, then as a baby, child and then Baaligh (i.e. adult/pubescent) Therefore, through life itself the human has rights (Huqooq) and Ahkaam are related to him like the Ahkaam of Al-Irth (inheritance) and Az-Zakaah in respect to his wealth amongst other rulings.