Kanuni Zinazohusiana na Tarjeeh (Kuchagua Lililo na Nguvu Zaidi) ya Al-Aqyisah (Mafananisho)
Principles Related To The Tarjeeh (outweighing) Of Al-aqyisah (analogies)
Wakati mbili za Qiyaas zinaweza kugongana kwa kuhusu hukumu juu ya uhalisia mmoja, kwa mfano pale hukumu ya kwanza iliyotolewa kwa Qiyaas juu ya uhalisia huu ni Waajib, wakati hukumu ya pili iliyotolewa pia kwa Qiyaas kutoka dalili nyingine ni Haraam. Katika hali au mazingira kama haya, Mujtahid anahitaji kuzipa nguvu moja kuliko nyingine.
Two Qiyaas(s) could conflict with each other in respect to the Hukm upon a reality where for instance the first Hukm deduced by Qiyaas upon this reality is Waajib, whilst the second Hukm deduced also by Qiyaas from another text is Haraam. At such a time or circumstance the Mujtahid needs to outweigh one over the other.