Misimamo ya 'Ulamaa' kuhusu kufanya Qiyaas kwa kuzingatia Hikmah
The stances of the ‘Ulamaa’ in respect to making Qiyaas upon the Hikmah
Wengi wa wanazuoni wa fiqh (Jumhoor) wameona kwamba qiyaas hufanyika kwa kutumia ‘Illah, si kwa kutumia Hikmah.
The majority (Jumhoor) of the Fuqahaa have viewed that the Qiyaas takes place with the ‘Illah and not with the Hikmah.
Baadhi ya ‘Ulamaa waliruhusu hikmah kuwa ‘illah ya Qiyaas bila kuchunguza kama ni Wasf Mundabit (sifa thabiti inayodhibiti hukumu) au si Mundabit.
Some of the ‘Ulamaa permitted for the Hikmah to be an ‘Illah for Qiyaas without examination whether it was a Wasf Mundabit (a consistent/controlling description) or not Mundabit.
Wengi wa wale waliotumia Qiyaas hii kwa kuzingatia Hikmah walitoka katika Madh'hab ya Hanbali, na maarufu zaidi miongoni mwao walikuwa Ibn Taymiyyah na Ibn ul-Qayyim Al-Jawziyah.
Those majority of those who utilised this Qiyaas upon the Hikmah were from the Hanbali Madh’hab and the most well-known of those who did that were Ibn Taymiyyah and Ibn ul-Qayyim Al-Jawziyah.