Aina za Sabab
The Types Of Sabab
Sababu kwa mtazamo wa uwezo wa Mukallaf ni ya aina mbili:
The Sabab from the angle of the capability of the Mukallaf is of two kinds:
1 – Sababu inayotokana na matendo ya Mukallaf na iko ndani ya uwezo wake kuyafanya.
1 – The Sabab which is from the actions of the Mukallaf and within his capability to do.
Mfano wa hilo ni:
An example of that is:
Safari (usafiri) ambayo Shari'a imeibainisha, ambayo ndiyo sababu ya kuruhusiwa kufungua saumu katika Ramadhani.
The Safar (travel) that the Shar’a has specified which is the Sabab for the permissibility of breaking the fast in Ramadhaan.
2 – Sababu isiyotokana na matendo ya Mukallaf wala isiyo ndani ya uwezo wake kuifanya.
2 – The Sabab which is not from the actions of the Mukallaf and not within his capability to do.
Mifano ya hayo ni pamoja na: