Aina za Shar'u Man Qablana
The Categories Of Shar’u Min Qablinaa
Hukumu za kisheria (Ahkaam) zilizomo katika Sharia hizo (Sharaa'i) zilizokuja kabla ya Sharia yetu zimegawanyika katika aina nne:
The legislative Ahkaam (rulings) found in those Sharee’ahs (Sharaa’i) that came previously to our Sharee’ah are of four types:
1 – Kile kinachopatikana (au kutajwa) ndani ya Shari'ah yetu na kikafanywa Fardhi au Sunnah kwetu, kama kilivyofanywa Fardhi au Sunnah kwa umma zilizotangulia. Tunapochukua Ahkaam za aina hii, hatufanyi hivyo isipokuwa kwa sababu zimetajwa ndani ya Shari'ah yetu, si kwa sababu zilipatikana ndani ya Shari'ah ya wale waliotutangulia.
1 – That which is found (or mentioned) within our Sharee’ah and was made Fard or Sunnah upon us just as it had been made Fard or Sunnah upon the previous nations. When we take Ahkaam like this we only do so because they have been mentioned within our Sharee’ah and not because they were found within the Sharee’ah of those who preceded us.