Vitabu muhimu zaidi vya Usul vilivyoandikwa kuhusu mbinu ya Mutakallimeen
The most significant books of Usool written upon the methodology of the Mutakallimeen
Tareeqah hii ilidhihirishwa kwa mara ya kwanza na Al-Imaam Ash-Shaafi'iy (Muhammad Bin Idrees Ash-Shaafi'iy) ambaye alifariki mwaka 204 AH huko Misri. Hilo lilikuwa katika kitabu chake 'Ar-Risaalah' katika Usool, na lilitokea bila yeye kuwa na uhusiano wowote na Mutakallimoon, ingawa alikubaliana nao katika kutumia hukumu ya kiakili ('Aqliy) kuanzisha Qawaa'id (kanuni) alizozitoa kwa ajili ya Usool ul-Fiqh.
This Tareeqah was first manifested by Al-Imaam Ash-Shaafi’iy (Muhammad Bin Idrees Ash-Shaafi’iy) who passed away in the year 204 AH in Egypt. That was in his ‘Risaalah’ in Usool and it happened without him having any connection to the Mutakallimoon although he agreed with them in respect to utilising the intellectual (‘Aqliy) judgement to establish the Qawaa’id (principles) that he provided for Usool ul-Fiqh.