Nguzo (Arkaan) za Al-Qiyaas
The Arkaan (pillars) of Al-Qiyaas
Al-Asl (chanzo), Al-Far’u (tawi), Hukm ul-Asl (hukumu ya chanzo) na Al-‘Illah (sababu)
Al-Asl (origin), Al-Far’u (branch), Hukm ul-Asl (original Hukm) and Al-‘Illah (reason)
Nguzo (arkaan) za Qiyaas zinachukuliwa kutokana na maana ifuatayo ya Qiyaas:
The Arkaan (pillars) of Qiyaas are taken from the following meaning of Qiyaas:
"Kuunganishwa (au kuambatanishwa) kwa tawi (Far‘un) na asili (Asl) kwa kuhusiana na Hukmu Shar‘iy kutokana na ‘Illah ya kuunganisha baina yao."
‘The attachment (or joining) of a branch (Far’un) with and origin (Asl) in respect to a Hukm Shar’iy due to the unifying ‘Illah between them’.
Kwa hiyo, Qiyaas inahitaji Arkaan (nguzo) ambazo bila hizo haitatimia, nazo ni:
As such Qiyaas requires Arkaan (pillars) without which it will not be fulfilled and these are: