Tareeqah (mbinu) ya Mutakallimeen na Tareeqah ya Fuqahaa’ kuhusiana na Usūl al-Fiqh
Tareeqah (method) of the Mutakallimeen and the Tareeqah of the Fuqahaa’ in relation to Usool ul-Fiqh
1) Mbinu ya Mutakallimeen:
1) Tareeqah of the Mutakallimeen:
Al-Mutakallimoon ni jina lililopewa wanachuoni (‘Ulamaa) waliotumia ‘Aql kufikia kuthibitisha na kuimarisha Usool ud-Deen, kama vile Imaan kwa Allah na Imaan kuhusu Qur’aan kuwa ni kutoka kwa Allah Ta’Aalaa. Jina hili pia lilipewa wale waliochunguza suala la kutokosea (‘ismah) kwa Anbiyaa’ kabla ya Utume, suala la uamuzi wa kiakili (‘Aqliy) wa Husn na uamuzi wa kiakili wa Qubh, na suala la kushukuru Mun’im (Mtoaji wa Ni’mah), ambaye ni Allah, na kama ni wajibu kusikiliza kwa sababu ya Daleel Ash-Shar’iy au ni wajibu kiakili! Pia walijadili asili ya lugha, na kama ni Tawqeefiyah (kutoka kwa Allah) au ni Tawfeeqiyah, yaani kwa makubaliano ya watu juu yake.
Al-Mutakallimoon is an expression that was given to the ‘Ulamaa who utilised the ‘Aql to arrive to affirm and establish the Usool ud Deen, like the Imaan in Allah and Imaan in respect to the Qur’aan being from Allah Ta’Aalaa. The title was given to those who looked into the issue of the infallibility of the Anbiyaa’ before Prophethood, the issue of the rational or ‘Aqliy determination of Husn and ‘Aqliy determination of Qubh and the issue of showing gratitude to the Mun’im (the provider of the Ni’mah) who is Allah and whether it is obligatory to listen due to the Daleel Ash-Shar’iy or is it obligatory rationally! They also discussed the origin of languages and whether they are Tawqeefiyah (from Allah) or are they Tawfeeqiyah i.e. by the agreement of the people upon them.
Tareeqah (njia) iliitwa Tareeqat ul-Mutakallimeen kwa sababu mbili:
The Tareeqah (method) was called Tareeqat ul-Mutakallimeen for two reasons:
1) Baadhi ya Mutakallimeen waliingia katika somo la Usool ul-Fiqh kwa njia hii kwa sababu waliona ndani yake mfanano mkubwa kati yake na mbinu zao wenyewe za kujifunza. Kwa hiyo wakaiangalia, wakaikaribia na kuisoma Usool ul-Fiqh kama vile walivyokuwa wamesoma ‘Ilm ul-Kalaam.
1) Some of the Mutakallimeen entered into the study of Usool ul Fiqh in this method because they found within it a strong resemblance between it and their own methodologies of study. As such they looked into, approached and studied Usool ul-Fiqh just as they had studied the ‘Ilm ul-Kalaam.