Maoni Yangu Kuhusu Al-Istishaab
My Opinion In Respect To Al-istishaab
Ukweli ni kwamba Al-Istishaab haiwakilishi Daleel juu ya Hukm, kwa sababu Daleel ndiyo ile ambayo Hukm ya jambo au tendo hutolewa kutoka kwake. Hukm ni mojawapo ya zifuatazo: Fardh, Mandoob, Mubaah, Makruh au Haraam, na hakuna Hukm inayotolewa kutoka Al-Istishaab. Badala yake, Al-Istishaab maana yake ni kuendelea au kubakia kwa Hukm ambayo ilikuwa imethibitishwa hapo awali kwa dalili, na dalili hiyo haikuwa, kwa asili, Al-Istishaab. Hiyo ni kwa sababu Al-Istishaab haithibitishi Hukm mpya, bali Hukm iliyokuwa imethibitishwa awali kwa Daleel yake inayotambulika kisheria (Mu'tabar) huendelea kwa njia ya Istishaab.
The truth is that Al-Istishaab does not represent a Daleel upon the Hukm because the Daleel is that which the Hukm for a matter or an action is taken from. The Hukm is either Fard, Mandoob, Mubaah, Makrooh or Haraam and no Hukm is taken from Al-Istishaab. Rather Al-Istishaab means the remaining or continuance of the Hukm that had been established by an evidence previously which was not in origin Al-Istishaab. That is because Al-Istishaab doesn’t establish a new Hukm but rather the previous Hukm established by its legitimately recognised (Mu’tabar) Daleel continues by way of Istishaab.