1 – Al-Ijtihaad ni Fardh Kifaayah; ikiwa wengine watayafanya, wajibu huo unawaondokea wengine, na ikiwa wengine hawajayafanya, basi wote wenye uwezo wa Ijtihaad ni wenye dhambi. Hiyo ni kwa sababu haifai kwa Waislamu kuwa na zama au kipindi cha wakati bila kuwepo Mujtahid au Mujtahidina wenye uwezo wa kuchambua na kutoa Ahkaam Ash-Shar'iyah za vitendo kwa mambo mapya yanayotokea katika maisha ya Waislamu.
1 – Al-Ijtihaad is Fard Kifaayah; if some undertake it, the duty falls from the rest and if some have not undertaken it, then all those who are capable of Ijtihaad are sinful. That is because it is not permissible for the Muslims to have an era or period of time without the existence of a Mujtahid or Mujtahideen who are capable of deducing the practical Ahkaam Ash-Shar’iyah for the new realities occurring in the life of the Muslims.
Hilo halimaanishi kwamba kufuata taqlidi kwa Mujtahid ni Haram, kwa sababu amri ya kufanya jambo si katazo (Nahi) la kufanya kinyume chake, kama tulivyoeleza hapo awali katika sehemu inayohusu Amr na Nahi (Amri na Katazo). 2 – At-Taqleed katika Aqeeedah:
That does not however mean that making Taqleed to a Mujtahid is Haraam because the command to undertake a matter is not a forbiddance (Nahi) from doing its opposite, as we explained earlier in the section about the Amr and the Nahi (Command and forbiddance). 2 – At-Taqleed in the Aqeeedah: